Kipunan-Aput

Kipunan-Aput (pia Kiaput) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapunan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kipunan-Aput imehesabiwa kuwa watu 370 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipunan-Aput iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search